Kuagiza Used engine kutoka Japan na Dubai

PUNKY

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
576
251
Wadau mlio na uelewa wa mambo haya naomba ufafanuzi wa kuagiza used engine za Magari kutoka Japan au Dubai kwa kuzingatia bei, usafirishaji, kodi, ubora, upatikanaji, changamoto na kampuni zinazohusika na biashara hii.
 
Ngoja nitakuulizia kwa wateja wangu jinsi wanavyofanya,mm huwa nawatolea makontena yao kutoka bandarin yakiwa na spare kutoka Dubai na Japan
 
Nitashukuru nahitaji sana used engine za magari ya kijapan
 
Back
Top Bottom