Kuagiza subaru forester

Nashukuru sana nimekupata Volkswagen Golf GTi ni gari nzuri?? maana nimeagiza kila mtu ananiambia itanisumbua spare sijui nn naona wananipa mawazo,Naomba maoni yako... nduu/mamaya

hakuna gari isiyokuwa na spare dukani sikuhizi mkuu,ukipata ushauri kwa toyota fun watakuambia hazipatikani au ni ghali, spare zipo ni kweli ghali but genuine , sio magumashi mchina. jiulize kama zamani watu walimiliki ford cortina, peugot 504, mercedes benz ml 200 , bedford na spare zilipatikana itakuwa leo hii?achana na watu wenye akili za ki ist na vits
 
Last edited by a moderator:

kamata kitu cha subaru wrx sti bhp 350,ni balaaaaa, ila kiboko yake ni mitsubishi evo.
 
jaman vp kuhusu toyota mark x 2006? maana nmejpanga mwakan niivute
 
Kuna subaru ya 2007 ina saizi ya Rav 4 hivi,kwa kweli nikiiona mate yananitoka,ni vile tu pesa za mawazo,ngoja niendelee kujilia tubata na ka starlet kangu!!!
 
Off topic: mwenye uzoefu,nikiwa na mil15 naweza kupata rav 4 ya 2004/5?
 

mkuu uzembe gani unasababisha gear box kufa?
 
mkuu uzembe gani unasababisha gear box kufa?
Kama una automatic gear box , cheki sana ATF(Automatic Transmission Fluid) , lakini vile vile kama ni yenye gear kila gear ina range yake ya RPM range na mtu uwe careful kubadilisha gear kama mwendo ni mkali au kupunguza kama mwendo unapungua.
Mfano kuacha gear namba moja au mbili kwa muda mrufu mwendo ukiwa mkali, RPM inaweza kwenda juu sana-kwa subaru inakubali hadi 8000 RPMs ,hapo gear box inawez kuwa matatani.
 
Kuna subaru ya 2007 ina saizi ya Rav 4 hivi,kwa kweli nikiiona mate yananitoka,ni vile tu pesa za mawazo,ngoja niendelee kujilia tubata na ka starlet kangu!!!
Mkuu hiyo mashine bei yake ni balaa!!
Heri hata kununua VX ya mwaka 2002.
 
Mkuu hapo kwenye red umenirudisha miaka zaidi ya 40 iliyopita
 
baada ya wadau kunitisha juu ya running cost ya hi gari nmeona bora nisiiagize ila bado naipenda.....
 
baada ya wadau kunitisha juu ya running cost ya hi gari nmeona bora nisiiagize ila bado naipenda.....

kwa hiyo unahamia kwenye rav4 au ist yeboyebo za mujini?hivi ungekuwa unataka kuoa mwanamke mrembo ,wakikuambia ni gharama kumhudumia ungemwacha huku unampenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…