Kuagiza subaru forester

kuna kampuni inaitwa enhance-auto.jp hii kampuni ikoje kuna mtu ashawai agiza kupitia kampun hio?
 
Ni nani huyo PakaJimmy? sababu Arusha tupo na chama cha SUBARU KASKAZIN wote wenye Subaru Arusha wapo ndan ya hiki chama.

Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu, pamoja na msiba na bata lote likayeyuka.
 
Habari wanajamii .....nnampango wa kuvuta forester naomba msaada nitumie kampuni gani kuagiza toka japan ambayo iko cheap na haina usumbufu au ujanjaujanja.Pia hizi gari hazna matatizo??? Nsaidien

Nadhani utaelewa kwanini usijute kunuua subaru
 
Last edited by a moderator:

kilimo kwanza ndo magari gani hayo? huwa nayasikia tu
 
mimi namiliki nissan Gtr ya 2008 speeed 340km/h na volkswagen golf Gti ya 2006 speed 300km/h zote zina super turbo charger, hapo hakuna cha kilimo kwanza, mercedez benz,subaru au bmw inayotia mguu.
 
Nyie endeleeni tu,
mi nitafuta kamtaji, ili ninunue japo kaGURUMO.
 
mimi namiliki nissan Gtr ya 2008 speeed 340km/h na volkswagen golf Gti ya 2006 speed 300km/h zote zina super turbo charger, hapo hakuna cha kilimo kwanza, mercedez benz,subaru au bmw inayotia mguu.

mkuu hizo gari ulizinunua wap?
 
nissan gt-r zinapatikana trade car view
 
Attachments

  • 13.jpg
    21.9 KB · Views: 167
Unadhani hio gari inacost $?
mpaka unaiweka barabarani unatakiwa uwe na USD 90,000 hapo umelipia ushuru kila kitu. ila kama umezoea kuendesha toyota usijaribu hii unaweza hisi umepanda ndege
 
mimi namiliki nissan Gtr ya 2008 speeed 340km/h na volkswagen golf Gti ya 2006 speed 300km/h zote zina super turbo charger, hapo hakuna cha kilimo kwanza, mercedez benz,subaru au bmw inayotia mguu.
Nashukuru sana nimekupata Volkswagen Golf GTi ni gari nzuri?? maana nimeagiza kila mtu ananiambia itanisumbua spare sijui nn naona wananipa mawazo,Naomba maoni yako... nduu/mamaya
 
Last edited by a moderator:
Sio uwoga ...ni umakini tu!180 nusu ya safari kwa barabara zetu???
 
Mkuu mimi ninayo hii gari tena ode ya SF5.
Hizi gari madhubutu sana na kuua gearbox inelekea ni uzembe kiasi fulani.

Gari yoyote wanaoua gearbox ni malearner.
Nilikuwa na older model SG5 na ilikuwa bomba.

Generally Subaru Forester ni gari nzuri sana ila spare zake ni ghali sana, hasa ukitilia maanani kuwa ni gari zimetengenezwa kwa ajili ya sports.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…