Kuagiza mbwa toka SA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuagiza mbwa toka SA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Buza, Apr 2, 2012.

 1. B

  Buza Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naulizia anayefahamu utaratibu wa kuagiza mbwa kutoka South Africa?
   
 2. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mkuu Buza, unaagiza mbwa kwa ajili ya shughuli gani? Ulinzi au kama pet?

  Ni breed gani ya mbwa unatafuta? Awe na umri gani na jinsia gani?

  Malengo yako ya baadaye na huyo mbwa ni nini kuzalisha au kutokuzalisha?
   
 3. B

  Buza Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nahitaji boerboel puppy kwa ajili ya ulinzi home akikua. Lakini Nahitaji kuzalisha ili niuze puppies kufidia gharama za matunzo.
   
 4. z

  zherc Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  agiza rhodesia ridgeback ndio wazuri kwa ulinzi. matunzo ni muhimu lakini... sio kuwapa mabaki ya kiti moto au mifupa ya makongoro.. be prepared. nenda mali asili & mifugo wizarani watakupa info zote. all the best.
   
 5. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  .

  Wanauzwaje mkuu hao boerboel? Unahitaji kwenda wizara ya Mifugo ili upate Import Permit ya kuingiza mbwa toka nje ya nchi. Katika hicho kibali utahitajika uwe na (1): Details za mbwa e.g Jina la mbwa, Breed ya mbwa, Gender ya mbwa, tarehe ya kuzaliwa ya mbwa.

  (2): Chanjo zilizo kamilika za mbwa DHLP, D=Distemper, H=Hepatitis, L=Leptospirosis na Rabies vaccination(ambapo chnjo ya kwanza ya Rabies inatolewa mbwa akiwa na umri wa miezi 3).

  (3): Internal and external parasites.

  Hizi documents zinatakiwa zitolewa na Veterinary wa serikali tokea huko South Africa.

  Mbwa anaposafirishwa toka SA anatakiwa awe accompanied na hizo original documents.

  Fuatilia zaidi toka Wizara ya Mifugo hapo Dar es salaam.
   
 6. B

  Buza Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante tundapori, lakini nataka kijua breeders wa ukweli.
   
 7. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hapo ndiyo mtihani mkubwa ulipo, vinginevyo ujiandae kuingizwa mitaani. Labda uwe na jamaa SA anayejuamambo ya mbwa.

  Import permit inayotolewa na wizara ya mifugo nafikiri inagharimu TSh 40,000/= valid for 30 days only from the date of issue of Import Permit, kwa hiyo inahitaji maandalizi mazuri na ya kuaminika.

  Unategemea kumleta Tanzania kwa usafiri gani? Kama ni kwa ndege watu wa ndege wanaweza kuwa na masharti yao e.g asiwe na umri chini ya miezi mitatu na kreti maalum ya kusafirishia mbwa.

  Mimi nategemea kuagiza Rottweiler toka Ulaya kuna jamaa yangu anabeba mabox huko, atakuwa mjamzito na atajifungulia bongo!
   
 8. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,305
  Trophy Points: 280
  DUU Mbwa wamekuwa adimu namna hiyo jamani kiasi cha kutolewa mpaka Ulaya. Mbona naona breeds nyingi tu zinapatika Tanzania?
   
 9. B

  Buza Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ukifanikiwa tundapori tujuzane. Rott ni wazuri pia kwa ulinzi ila nasikia si wazuri sana Kama nyumba Ina watoto wadogo.
   
 10. m

  mwakibete JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2016
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,560
  Likes Received: 964
  Trophy Points: 280
  Si Kweli Mkuu. Rot is one of the Best breed i have ever met. Ni msikivu sana. Nililia sana pale alipogongwa na gari akiwa na miezi minne unusu. Alikuwa nirafiki wangu wa ukweli na rafiki kwa wanangu
   
 11. m

  mtoto wa maskini JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2016
  Joined: Jun 28, 2013
  Messages: 1,154
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Utawajua tu watoto wakishua na matozi na mbwa wao
   
 12. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2016
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Itakuwa amechanganya kati ya Rot na Pitbulls. Mimi nina well trained 4 German Shepherds...wawili wana miaka 4 na wawili wana miaka 2. Kuna jamaa waliingia nyumba ya jirani kuiba usiku, katika purukushani za kukimbizwa mmoja akakosea akaruka ukuta na kuingia nyumbani kwangu. Mbwa walimkalisha kimya kimya...kila akitaka kuinuka akimbie anapigwa meno anarudi chini kimya. Mpaka mlinzi anakuja kumkuta jamaa yuko hoi hatamaniki. Uzuri wa GS huwa hawapigi kelele wakifanya yao..utakuta tu mtu yuko hoi.
   
Loading...