Naulizia anayefahamu utaratibu wa kuagiza mbwa kutoka South Africa?
.Nahitaji boerboel puppy kwa ajili ya ulinzi home akikua. Lakini Nahitaji kuzalisha ili niuze puppies kufidia gharama za matunzo.
Asante tundapori, lakini nataka kijua breeders wa ukweli.
DUU Mbwa wamekuwa adimu namna hiyo jamani kiasi cha kutolewa mpaka Ulaya. Mbona naona breeds nyingi tu zinapatika Tanzania?Hapo ndiyo mtihani mkubwa ulipo, vinginevyo ujiandae kuingizwa mitaani. Labda uwe na jamaa SA anayejuamambo ya mbwa.
Import permit inayotolewa na wizara ya mifugo nafikiri inagharimu TSh 40,000/= valid for 30 days only from the date of issue of Import Permit, kwa hiyo inahitaji maandalizi mazuri na ya kuaminika.
Unategemea kumleta Tanzania kwa usafiri gani? Kama ni kwa ndege watu wa ndege wanaweza kuwa na masharti yao e.g asiwe na umri chini ya miezi mitatu na kreti maalum ya kusafirishia mbwa.
Mimi nategemea kuagiza Rottweiler toka Ulaya kuna jamaa yangu anabeba mabox huko, atakuwa mjamzito na atajifungulia bongo!
Si Kweli Mkuu. Rot is one of the Best breed i have ever met. Ni msikivu sana. Nililia sana pale alipogongwa na gari akiwa na miezi minne unusu. Alikuwa nirafiki wangu wa ukweli na rafiki kwa wananguUkifanikiwa tundapori tujuzane. Rott ni wazuri pia kwa ulinzi ila nasikia si wazuri sana Kama nyumba Ina watoto wadogo.
Itakuwa amechanganya kati ya Rot na Pitbulls. Mimi nina well trained 4 German Shepherds...wawili wana miaka 4 na wawili wana miaka 2. Kuna jamaa waliingia nyumba ya jirani kuiba usiku, katika purukushani za kukimbizwa mmoja akakosea akaruka ukuta na kuingia nyumbani kwangu. Mbwa walimkalisha kimya kimya...kila akitaka kuinuka akimbie anapigwa meno anarudi chini kimya. Mpaka mlinzi anakuja kumkuta jamaa yuko hoi hatamaniki. Uzuri wa GS huwa hawapigi kelele wakifanya yao..utakuta tu mtu yuko hoi.Si Kweli Mkuu. Rot is one of the Best breed i have ever met. Ni msikivu sana. Nililia sana pale alipogongwa na gari akiwa na miezi minne unusu. Alikuwa nirafiki wangu wa ukweli na rafiki kwa wanangu