Kuagiza gari Vs kununua yadi hapa bongo

Kuagiza gari Vs kununua yadi hapa bongo

Kerosine Bal

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
247
Reaction score
231
Naomba kwa wenye uzoefu wa kununua magari, kununua kwa kuagiza nje/japan na kununua hapa bongo yadi ipi nafuu?
 
Hapa ni nafuu sana, hapa unaweza kupata gari zuri kwa bei ndogo ukiwa makini, na ukiwa huna haraka. Hasa kipindi hiki cha njaa kali ya pesa unaweza kupata kwa bei nafuu sana.
 
Ukipata gari kutoka show room walio waaminifu kwa sasa bei ni nafuu kuliko kuagiza sababu TRA wako underpressure so wanasema tu kodi wanayoitaka tofauti na makisio uliyoyafanya ya awali na hakuna namna unaweza bisha....Shida ya hizi gari za show room unakuta mingi wamebadilisha zile parts Original wamekuwekea za kichina ndiyo maana nikasema ukipata wauzaji waaminifu ama unaojuana nao itakuwa rahisi kununua gari hapa...
 
China wanatengeneza spea fake za Japan?
 
Nimekuelewa sana, kichwa imefunguka..... Asante
 
Lakini pia zingine zinakua ziko showroom kwa muda mrefu na zinapigwa sana na jua
Upo sahihi sana mkuu..Ila kuna vitu vya msingi sana wakati unapotaka kununua gari...Na maadam gari iliyopigwa na jua sana utaiyona so itakuwa ni pendekezo lako kuichukua ma la...
 
Mkuu kununua gari Japan inakuwa nafuu kuliko hapa. Sababu zipo rahisi na unachagua unayoipenda, pia ina ubora kuliko kununua hapa mtu anakuuzia gari ina matatizo lukuki. Lakini angalia mfuko wako kama unaweza kununua Japan au kununua hapa hapa nyumbani.
 
Lakini pia zingine zinakua ziko showroom kwa muda mrefu na zinapigwa sana na jua
sasa mbona gari zote zinapigwa na jua siku nzima tunapaki makazini. pia usiku kukiwa na mvua pia zinneshewa tu bila kikom? tufafanulie hilo mkuu maana yanayokaa shed ni yale ya vingunge ya wengine paki chini ya mti kama upo ila kwa wingi hakuna cha kivuli
 
Nje gari ni nafuu na ni zina ubora sana kuliko ndani,tatizo ni kodi zetu ukileta huwa inazidi marambili ya kununulia gari yaani TRA wanachukua hela nyingi kuliko hata ya muuzaji gari.Shida ya gari za ndani wengi si waaminifu unaweza uziwa rangi kumbe gari ilishatumika ndani umakini inatakiwa zaid kuchunguza.Km mfuko unaruhusu agiza nje Mbili Kwa moja yaani hio bei ya nje ya kununua izidishe Mara Mbili halafu tafuta kodi yake mfano km ni 4000 Fanya 8000 halafu hio 8000 zidisha Mara dola ndo kodi yake km ikupungua itabaki kwenye akaunt yako ili isijepigwa mnada gari yako.
 
Back
Top Bottom