SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,258
- 2,197
Taratibu za NMB sizijui kwaķweļi ila watumiaji wa BancABC na mpesa hela inarudi kwenye Card husika.Boss vip ulipataje maana mimi kuna chanamoto kwa nmb bank
Equity hivyo hivyo ila hadi ufuatilie ndo hela yako irudi.