-tena haki ya kikatiba kabisa,contitutional right!mapenzi ni feelings, na kila mtu ana haki ya kufeel. So mwanaume kulia is a part of that feelings na ni haki yake kuexpress it.
wakat wa kuagana na mpenz wk, mwanaume naye akalia, je ni sawa au ni kujshushia uaanaume?
wakat wa kuagana na mpenz wk, mwanaume naye akalia, je ni sawa au ni kujshushia uaanaume?
hapana, but b4 cjafanya naulza ili njue if ts ryt or chick ataniona ndvyo cvyo
premeditated?
This will be a big lie, kwako na kwake
Hivi hamna dawa ya kujiliza? Paw hajatinga home im masturdinnering. Nataka akiingia tu mlangoni niangue.kilio cha mwaka. Msaada wa machozi manake coca cola hazijasaidia, rehearsal imebuma.
daah, chek v2nguu