Kuachwa na your/my first love -vs- umri


Biggy hapa ulikuwa una Reconcile Quantum Physics na Cosmology
 
hommie hivi MASIKA hakukufundisha vyema hesabu?.....sorry fadha MUHUME hakukufundisha sawasawa fiziksi?

PRESSURE=FORCE/AREA
sasa kama hutaki presha maanake ongeza area.....!NA KUONGEZA AREA NI KUCHUKUA TOTOOZ ZENYE MAKALIO MAKUBWA(AREA)
....:amen:

No Comment hapa!!!

...Big umeshikwa na kwikwi ....eeeeh? ..homu boi hiyo bana!
 
Regadless of Age, Maumivu ya Mapenzi yanauma Sana, Tuwe wakweli.
Haijalishi mkubwa au Mdogo, Experienced or inexperienced, Tall or short.....hata rangi haiusiki MAUMIVU YALEYALE.................

Tofauti inakuja.....Je wewe Ukiumia Unafanyaje? Unalia, UnaJiua nakadhalika
 
Hapa nitasema nikipata muda, naona huku dodoma siruhusiwi kuondoka bado.....:welcome:
 
ST RR Usiniache ....tupande Shabiby nini??


Jamani kusema ukweli mie nasema kuachwa kunauma bana........... iwe una miaka kumi na tisa au 33 ukiachwa na yule mtu ambaye wewe uliona ndio mwisho lazima utaumia sana
KWa kijana wa 19- yeye ataumiakwa kuwa huyu ni mpenzi wake wa kwanza ambaye alimpenda kiukweli.na akayaona maisha yake yajayo mikononi mwa huyu... akainvest hisia na material things kwa huyu..........ni wazi ataumia kabla ya kufikiria kuwa kuna wengine na kuwa anayo chance ya yeye kuexplore more.

Kwa mwenye 33 will be the same only if...katika maisha yake yote huyu ndo mpenzi wa kwanza (Labda alikuwa padre akatoka ndipo akakutana na asali hii) au ni mpenzi wake wa kwanza kumpenda kwa maana halisi ya neno kupenda (i.e. alishakuwa na mahusiano but this one is unique) then akajiona na kutoa maamuzi kuwa amefika......maumivu ni sawa bana.

Mimi nilishawahiumiza mkaka (a very innocent mkaka) but I wasnt his first lover.... and he wasnt that young......... na alikuwa anakiri hilo......... am telling you sitaki kukumbuka what I put him through...................... I just dont want to remember. Nabakia kuwish tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…