Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,660
kaogee maji ya mchele
Hahahaa,mkuu sharti lako mbona kama mganga vile??
kaogee maji ya mchele
Pesa, makuta, goto, njuluku, money, faranga, dinar, sente, wallet ina majina mengi
dogo acha kulalamika kuhonga hutaki halafu unataka wasikukimbie,,izo ABCD mbwembwe tu, we toa hela tumia hela wape hela halafu rudi apa mwakani utaniambia.
meaning?
Unaweza ukawa na hela lakini kama namna ya kuzitumia na mrembo hujui bado utaonekana boya na anakupiga chini vile vile baada ya kuzila na kukuona wewe sio type yake. (hii ni kwa wale wenye hela alafu wana matumizi ya kilimbukeni)Naunga mkono hoja..PESA, FEDHA na MAHELA ndo kilichokosekana.