Kuachwa na mpenzi

Kuachwa na mpenzi

Thifor

Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
19
Reaction score
1
Jaman naomba ushauri, kila mwanamke/msichana nae mpenda tunaachana bila yakufikia lengo. Kuachana huko kunakua hakuna sababu maalumu. Nilitokea kumpenda msichana mmoja lakin nae akasema tuachane bila sababu, sijui ni kwanin!
 
Jaman naomba ushauri,kila mwanamke/msichana nae mpenda tunaachana bila yakufikia lengo.Kuachana huko kunakua hakuna sababu maalumu.Nilitokea kumpenda msichana mmoja lakin nae akasema tuachane bila sababu,sijui ni kwanin!

Problem, labda hauna hela au hujui kuhandle
Mwanamke anahitaji (ABCD) kutoka kwa mwanaume
A=your appearance jinsi unavyojiweka

B=body structure

C=how you care, this means to love someone is not just make sex, romance or to walk around the beach, but this means how you care you love

D=distance, mpenz anahitaji awe karibu na wew ili awe na Aman ndani ya nafsi yake.

Au wew upo mbali nae? Zingatia hayo
 
Dogo acha kulalamika kuhonga hutaki halafu unataka wasikukimbie hizo ABCD mbwembwe tu, we toa hela tumia hela wape hela halafu rudi apa mwakani utaniambia.
 
siku hiz mwanke haitaj hayo yote inamaana diamond kwa wema ana hizo cfa?achen upimbi
 
Moja- inawezekana una gubu sana. Pili- Inawezekana unanuka mdomo. Tatu- Labda bahili sana. Nnne- Labda huna pesa.
 
Tatizo huna Jala mwanangu af unashobokea kali zisizo level yako...Tafta kwanza ilo Jax arif!
 
Jaman naomba ushauri,kila mwanamke/msichana nae mpenda tunaachana bila yakufikia lengo.Kuachana huko kunakua hakuna sababu maalumu.Nilitokea kumpenda msichana mmoja lakin nae akasema tuachane bila sababu,sijui ni kwanin!

Mnaachana bila kufikia lengo....lengo gani hilo?
 
Ninong'oneze miamala yako yote kwa siku, mwezi na mwaka kwa hao wadada.kisha nitakushauri vizuriiiiiiiiii na hilo tatizo litakoma kabisaa
 
Jaman naomba ushauri,kila mwanamke/msichana nae mpenda tunaachana bila yakufikia lengo.Kuachana huko kunakua hakuna sababu maalumu.Nilitokea kumpenda msichana mmoja lakin nae akasema tuachane bila sababu,sijui ni kwanin!

nyoa mavuzi kwanza utapendwa
 
Pesa, makuta, goto, njuluku, money, faranga, dinar, sente, wallet ina majina mengi
 
Back
Top Bottom