Nimevurugwa asee mimi ni mtu makini sana pale linapokuja kwenye swala la kutumia hisia au akili huwa naweza ku handle any bad situation inayo niface mbele yangu! Kuna ile formula ambayo wanaume wengi tunaitumia yani unakuwa na wanawake zaidi ya mmoja inaweza ikawa 3 au 4 ili mmoja akizingua basi pengo lake unaziba fasta!
Asee niwe mkweli hii formula ni kweli nzuri lakini kuna wanawake wengine mapengo yao kuzibika inachukua muda hata kama unao madem 10
Kuna pisi moja toka juzi haipokei simu, nikimtext anasoma tu then hajibu chochote hasemi shida nini yupo kimya tu na ndo nilimpitisha kwenye mchujo mkali ikiwezekana mwaka huu nimuoe lakin ghafla kanibadilikia kama sio yeye vile nikikumbuka zile ahadi na moments tulizo practice pamoja dah asee
ukweli ni kwamba hata uwe na madem 100 kuna yule mmoja ambayo akikuzingua asee lazima ulale na viatu kidogo kabla hujarudi kukaa sawa dah!
Thanks brotherHarden your heart and you won’t go through it again in your life.
Sio king'ang'anizi mkuu hasemi shida niniUkiachwa, jua kuachika. Kuwa king'ang'anizi ni tabia mbaya sana.
Tabia mbaya kabisa.
Kutosema ni kusema pia, sasa mtu hataki kupokea simu zako hupati message tu hapo?Sio king'ang'anizi mkuu hasemi shida nini
Shukran brotherUnawaza utelezi kaka ? Jifunze kupenda na akili , mambo ya kumweka mwanamke kwenye moyo na mapafu hawa viumbe watakufanya utoke kwenye reli, mpende Mungu, wanao na hela in that order , tupo pamoja ??
Hata kama hasemi sababu ni nini, mwache tu aende.Sio king'ang'anizi mkuu hasemi shida nini
Nimekupata mkuuKutosema ni kusema pia, sasa mtu hataki kupokea simu zako hupati message tu hapo?
Kwa nini unamsumbua mtu asiyetaka kuongea na wewe?
Nimevurugwa asee mimi ni mtu makini sana pale linapokuja kwenye swala la kutumia hisia au akili huwa naweza ku handle any bad situation inayo niface mbele yangu! Kuna ile formula ambayo wanaume wengi tunaitumia yani unakuwa na wanawake zaidi ya mmoja inaweza ikawa 3 au 4 ili mmoja akizingua basi pengo lake unaziba fasta!
Asee niwe mkweli hii formula ni kweli nzuri lakini kuna wanawake wengine mapengo yao kuzibika inachukua muda hata kama unao madem 10
Kuna pisi moja toka juzi haipokei simu, nikimtext anasoma tu then hajibu chochote hasemi shida nini yupo kimya tu na ndo nilimpitisha kwenye mchujo mkali ikiwezekana mwaka huu nimuoe lakin ghafla kanibadilikia kama sio yeye vile nikikumbuka zile ahadi na moments tulizo practice pamoja dah asee
ukweli ni kwamba hata uwe na madem 100 kuna yule mmoja ambayo akikuzingua asee lazima ulale na viatu kidogo kabla hujarudi kukaa sawa dah!
Nikweli brotherHata kama hasemi sababu ni nini, mwache tu aende.
Mapenzi ni hiari. Ni maridhiano ya pande mbili.
Huwezi ukamlazimisha mtu kuwa na wewe kama yeye hataki.
Noma sana brotherBro said - if she wanna leave, I should let go
Heart saying if she leave we're going with her
I don't wanna let her go ,girl from 7.3.4
Issue sio kuhandle mzee tatizo kuna mmoja lazima akuingie moyoni hata iweje wazazi wenyewe wana watoto wao favoriteSema kichwa chako si cha ku handle pisi zaidi ya 1....
Acha kulialia