Kuachika na kuachana

Biblia ina story nyingi, relevant na irrelevant. Story nyingi zinaelezea maisha ya jamii za huko huko ugalatiani. All in all Amri za Mungu ndo maagizo rasmi ambayo mungu ameagiza wanadamu wayafuate. Sasa niambie ni Amri ipi ambayo inazuia watu kuachana?
 
Hiyo ID yako ni ya kweli?
 
kwan kuna ID ya uongo na ya ukweli??????? ilo sio jina kama unataka jina naitwa Mch. Emmanuel
Ukiwa mchungaji humu yafaa uweke real identity ukishaweka feki Na mie najua wewe ni feki. (Kwa suala la uchungaji)
Kuhusu ID feki mtafute Linamo atakujuza.
 
Malaki 3:16 haiongelei mambo ya ndoa

16 Wakati huo wale wenye kumwogopa Yehova+ wakasemezana, kila mmoja na mwenzake, na Yehova akaendelea kutoa uangalifu na kusikiliza.+ Na kitabu cha kumbukumbu kikaanza kuandikwa mbele zake+ kwa ajili ya wale wenye kumwogopa Yehova na kwa ajili ya wale wanaolifikiria jina lake.+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…