Ukweli mtupu huo kwani inawezekana kumrudia tena mwanamke uliyemuacha Kwa sababu moja ama mbili/tatuHabari wana jamii..Nauliza jambo
Kuna tafiti zinasema Ni rahisi kumrudia mwanamke ULIYEMUACHA kuliko kumrudia mwanamke ALIYEKUACHA.
JE KUNA UKWELI NDANI YAKE?
Kama kuna kisa kilikutokea.Tafadhali share with us.