Kuacha mchepuko mwenye chura matata ni mtihani

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,372
Reaction score
64,584
Nashindwa kumuacha mchepuko ingawa ananigarimu....kutokana na uzuri alionao pamoja na chura matata,najikuta namlipia ada ya chuo,namvisha,nampa matumizi na bado namlisha.Naona ugumu kumuacha kwa sababu wengi wanamnyemelea wenye vipato vyao pamoja na wadhifa,inabidi nikomae kiume tu...tunasema kufa kianaume.
Kula vitu vizuri ni garama.
tafakuri.jpg
 
Cha ajabu akimaliza hiko chuo mtapotezeana...... Uanafunzi raha saaana hela nje nje sio kama huku mtaaani
 
Subili amalize kama utakuwa naye, tena anajua kama umeoa! Wewe ni ATM card basi hakuna kingine, hongera sana kwa huduma nzuri, na mkeo kuna jibaba pale huwa naona kabebwa harrier tena tinted kila ukitoka
 
ha ha ha ha wenye harrier hawamuwezi kwa sababu nimempa usafiri mkubwa
 
Hahahaha just stress freee !!! Atimize ndoto zake kwani umemfungulia biashara kubwa kubwa????

Anakuheshimu saana ila we unadhan anakupenda.....
Ninachonufaika sana ni kupiga mashine kwenye chura matata,kama itatokea kufungua biashara inabidi nipandikize chata yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom