Watu wanaacha kabisa kazi na wanaendelea kulipa mbona, akatoe taarifa benki husika na.kweli awe ana deposit hiyo hela au mshahara wa huko chuo aupitishie akaunti hiyo hiyo anayodaiwa kwa urahisi zaidHivi likizo bila malipo kwa mtu ambae ana mkopo inawezekana? Naomba maelezo hapo
Watu wanaacha kabisa kazi na wanaendelea kulipa mbona, akatoe taarifa benki husika na.kweli awe ana deposit hiyo hela au mshahara wa huko chuo aupitishie akaunti hiyo hiyo anayodaiwa kwa urahisi zaid
mshauri achukue likizo bila malipo hata ya mwaka akpige mzigo acheki mazingira kama watamzingua arudi kwenye ualimu wake.
Jamaa tumemaliza naye MASTERS japo mimi niko wizara tofauti na yeye.So anaona kama akienda private ata lost.Umri wake ni miaka 30Likizo bila malipo anaweza kuomba akapewa kwakuwa ni haki ya kila mtumishi kama mwajiri ataridhika na sababu atakazoeleza. Kwenye sababu hapo ndo sijui ataeleza nini. Labda kama anaenda kusoma. Habari mkopo si kikwazo sana labda mwajiri/ msimamizi wake amwekee kikwazo. Sijui huyo unayemwombea ushauri ana umri gani. Ila kama bado kijana nadhani asihofu kufanya maamuzi magumu ya kuacha kazi isiyo na mapato afuate hiyo ya salari kubwa ili ajenge maisha yake. Kama ni msomi hana sababu ya kuhofia sana. Mshangao wangu ni mtu wa masters inakuwaje wewe umwombee ushauri inamaana hawezi kufanya maamuzi mwenyewe? Au ana elimu ya google?
Nina rafiki yangu wa karibu ambaye ni mwalimu wa sekondari katika shule ya serikali.Amemaliza mwaka jana Masters ya MODELLING MATHEMATICS na juzi tu kaitwa akaanze kazi katika moja ya vyuo vikuu binafsi hapa Tanzania.Alipopewa mkataba ni kua atalipwa basic salary ya 2.1 million ila bado anaogopa kuacha kazi serikalini japo anatamani huo mshahara.mimi nimemwambia Akafundishe chuo but kama haniamini.NIPENI MAWAZO YENU WADAU HASA WALE WENYE UZOEFU ILI NIENDELEE KUMSHAURI.
Hata akichapa Laba mkopo una Bima ule,hakuna tatizo
Kweli,hivyo BIMA inarecovery? Mm nkajua ndio mambo ya kuchafuana magazetini kuwa most wanted,.
mshauri achukue likizo bila malipo hata ya mwaka akpige mzigo acheki mazingira kama watamzingua arudi kwenye ualimu wake.
Watu wanaacha kabisa kazi na wanaendelea kulipa mbona, akatoe taarifa benki husika na.kweli awe ana deposit hiyo hela au mshahara wa huko chuo aupitishie akaunti hiyo hiyo anayodaiwa kwa urahisi zaid
Jamaa tumemaliza naye MASTERS japo mimi niko wizara tofauti na yeye.So anaona kama akienda private ata lost.Umri wake ni miaka 30
Hakuna kitu kama hicho. Namshauri aombe likizo bila malipo na ahakikishe amejibiwa kabla ya kuondoka kama kweli anataka kurudi. Otherwise aache tu na asahau kurudi...serikalini raha sana hta akiacha tu bila taarifa haina shda zaid watamkatia tu mshahara bdae akihitaj kurud anarud tu au aongee vzur na bos wake awe ana mtoa tu kihela cha gesi ya kupikia kila mwezi lazima atamlinda tu na hapo atakua anakula mshahara sehemu mbili .