Kuacha kazi Serikalini

Kuacha kazi Serikalini

Joined
Apr 4, 2019
Posts
81
Reaction score
90
Habari wakuu naomba ushauri wenu hapa. Mimi ni mwajiriwa wa serikalini toka 2015.

Sasa nataka niache kazi nijikite kwenye suala lingine.

Kinachonitatiza kuacha kazi ni kwamba nina mkopo benk ambao bado haujaisha.

Pia naombeni techniques nzuri zitakazonifanya niachishwe kazi na DED
 
Lipa deni la watu kwanza then sepa, hakuna atakayekusumbua
Habari wakuu naomba ushauri wenu hapa. Mimi ni mwajiriwa wa serikalini toka 2015. Sasa nataka niache kazi nijikite kwenye suala lingine.
Kinachonitatiza kuacha kazi ni kwamba nina mkopo benk ambao bado haujaisha.
Pia naombeni techniques nzuri zitakazonifanya niachishwe kazi na DED
 
Andika barua ya kuomba kuacha kazi, usitafute kufukuzwa.
 
Kwanini unataka kuacha Kazi Mkuu? DED amekufanya nini?
 
Habari wakuu naomba ushauri wenu hapa. Mimi ni mwajiriwa wa serikalini toka 2015. Sasa nataka niache kazi nijikite kwenye suala lingine.
Kinachonitatiza kuacha kazi ni kwamba nina mkopo benk ambao bado haujaisha.
Pia naombeni techniques nzuri zitakazonifanya niachishwe kazi na DED
Tembea na mtoto wake!!
 
Nakutamani aisee najua umeshindwa kumvumilia Jpm anyway mi navumilia tu
 
Kwanini unataka kuacha Kazi Mkuu? DED amekufanya nini?
Laiti hata mie ningestuka mapema ningeandika barua ya kuacha kazi.

Wahenga walinena kuwa ajili nyumba ya njaa, kwani nilisubiri na misimamo yangu mwishowe nikabambikwa kesi. Time ya Utumishi ilinisafisha lakini kwa vile Ikulu yetu ilikuwa inayumba jamaa walikata rufaa (yenye masilahi) wakafanikiwa.

Hadi sasa nahangaika mahakamani kudai haki.

Ma'am DED huko wilayani ni miungu mtu! Aandike barua ya saa 24 kuachakazi. Asitoe taarifa ya mwezi kwani muda huo anaweza kuzuliwa jambo.
 
Habari wakuu naomba ushauri wenu hapa. Mimi ni mwajiriwa wa serikalini toka 2015.

Sasa nataka niache kazi nijikite kwenye suala lingine.

Kinachonitatiza kuacha kazi ni kwamba nina mkopo benk ambao bado haujaisha.

Pia naombeni techniques nzuri zitakazonifanya niachishwe kazi na DED
Usiende kazini siku 5 mfululizo
 
Kuna uzi unazungumzia suala hili, wajuzi watakutag
 
Back
Top Bottom