Mkuu sambamba na vifungu ulivyopewa hapo juu unapokua umeacha kazi kama kuna likizo zako watatakiwa kukulipa hizo siku au wakupe likizo uende kwa hizo siku unazowadai hapo ofisini, mimi niliachaga kazi sehemu nilikua nadai siku 18 ikabidi wanipe likizo ya siku zangu nisije nikawadai wanilipe...