Kua single kuzuri sana

Dah...kuwa single tu ni dalili za kufeli kimaisha...huwezi kusema una maisha ya furaha wakati huna mahusiano....furaha ya maisha huja baada ya kufanikiwa kwenye mambo yafuatayo...
1. Uwe na chanzo cha napata
2. Uwe na ujuzi wowote wa kuwasaidia wengine
3. Uwe na mahusiano mazuri na wengine..
4. Uwe na imani yoyote ya kuabudu..
 
kujifanya kupenda penda ni kilema kibaya sana mkuu

ukijiotoa kwenye huu ulevi,utaish maisha ya stareeeeehe
Dah...hakuna maisha ya starehe kama hakuna penda penda...labda uwe mcheza pool mzuri sana...
 
Ukitaka kufanikiwa kwa hataka kaa mbali na wasichana, ukitaka kufanikiwa kwa uhakika wakaribie
 
hit and run ndo mpango mzima mkuu
ila nayo inachangamoto zake wakuu,mi nli HIT kicheche moja iyo nimetumia protection fresh kumbe nime RUN na warts virus wiki mbil tu nashangaa naota mapele ya ajabu mavuzini.NIMEKOMAA nipo zangu CHAPUTA
 
Siwezi kuwa single ila dunia ina pande nne thus siwezi kuwa na manzi mmoja.
 
Uhitaji utakaporudi utatamani tena...mapenzi hayaishi fasheni
Kaka Mshana mademu wa siku hizi pasua kichwa hata umpe hela na kumtafuna kila siku utatombewa tu.!
Na ukiwa maskini sasa ndo utatukanwa kabisa na demu wako mwisho wa siku anakwambia-
"Hivi na wewe unajiita mwanaume?"
 
Leo kuna thread ya kupunguza kuzaa na hii ya kubaki single, ukiuliza sababu ni maisha kuwa magumu(ajira hakuna) na usaliti.Kesho itakuja nyingine ya kuhamasishana kutokuoa na sababu ni zile zile za maisha magumu na usaliti, wanawake mtafute pa kukimbilia
 
The last paragraph is really. .. well talk buddy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…