Hauwez kukaa single lazima utawasumbua dadazetu, labda uwe umeiweka kitanzi.Pia hata kama umependa usizidi hadi inafikia hatua kilaunachoambiwa haupingi hoja.Make sure haumuonyeshi baby wako reaction kama hizo hatakama unampenda atari,otherwise utabandika mabango kuwa upo single na bado unawasumbua watoto wa watu mtaani.
Wewe nenda likizo wakati watu wanazidi kuvumbuwa vipaji na mitindo inazidi kubuniwa mipya
Hit and run haujengi kibanda
Ndo hapo wanadamu tunapojidanganya kuwa kuwa singles ni kuzuri, nikweli tutasema ni kuzuri iwapo hujapatwa na maradhi unakula unafurahi ila unapopata badiriko katika mwili wako ndo unajuà umuhimu wa kuwa namwenzako.ata kama mkigombana ila ukiumwa atakuudumia na kukujulia hali tusijivunie kuwa single bali tumuombe Mungu atupe wenza hakuna kitu kibaya kama upweke ata uwe na hela utadharaulika utaitwa malaya jàmani Mungu tupe wenza walio kamilika.
Malizia stori mkuu baada ya kuwa single ukajiunga chaputa au unanunua machangu...? Maaana nyege ugonjwa mbaya sana
watu Watu wanafungukaa Hahahaaa
Mwenzenu nmelalia mapaja apa nchek eatvyff..em nibusu kdg hahahaa........
Kaka nichek inbox fasta
Hahaaaaa,ngoja nijenge viwanda kwanza ndio ntakuja uko box
mkuu,uzuri hawa watu kila siku wanazaliwa wazuri
ngoja nisake pesa kwanza
yaani nilitumia laki 5 kwa kunywa pombe siku 5 ili nitoe mawazo eti sababu ya mapenzi
nikikumbukaga hili tukio,hua nachoka kabisa
Hahahahahahaha pole sana mkuu pesa haihitaji wewe kupania kivile no