msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,730
Assalam aleikum na Eid Mubarak kwenu nyote,
Nisiwachoshe ila nataka niseme kitu ambacho nimekiona kwa hawa ndugu zetu waGanda hasa wasio waislam. Katika life hii nimefika kwingi ila kwa hapa Uganda Alhamdulillah kuwa muislam ni raha. Kuna baadhi ya nchi au sehemu kuvaa Kanzu au Hijab ni shida na unaonekana kama hujaendelea vile lakini si kwa hapa Uganda.
Uganda vazi la Hijab au Kanzu na hata kibalaghashia ni heshima kubwa tena mostly unapewa na wasio waislam. Mara kadhaa nimepita maeneno ya Kampala , Mbarara na vazi hili na mara zote kwa watu tofauti nimeheshimiwa sana na watu wa cadre tofauti kuanzia kwa utingo, boda boda men na hata wa cadre ya juu. kifupi hapa ukiwa muislam basi jina lako utaitwa Hajji kama mtu hakujui jina na ukiwa mwanamke utaitwa Hajjat. Ni kweli waislam sio wengi sana hapa Uganda ukilinganisha na Tanzania ila hadhi na heshima dhidi ya waislam ''TUKASOME"
Asanteni sana wGanda kwa kutupa heshima tunayostahili
Karibu Eid