Kua makini na televisheni

Kua makini na televisheni

Alex jairo

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Leo Ninawaletea Mada nzuri sana kwa wale wenye familia na hata wasio na familia ili tujifunze jinsi mataifa yenye nguvu yanavyofanikiwa kutuaribia mila na desturi ya mwafrika kupitia kifaa kinaitwa TELEVISHENI.. Televisheni ni adui ya Jamii-Na pia itakupa faida kama itatumika ipasavyo... Serekali yetu ilitenga mabilioni ya mapesa eti kwenda kwenye digitale na ukitazama hali ya miundombinu mashuleni inasikitisha.. Hakuna madawati wala Mahabala najui hili ni shinikizo kutoka mataifa makubwa na lengo lao nalijua ni kumwalibu mwafrika ktk kila nyanja-si tamaduni . Elimu na Imani
Ngoja nikupe siri ya Television- TV-ni mind control Device.. Kama ulikua hujui hili basi tambua na Amini ninayokwambia na fanyia kazi.. TV inahalibu vp Jamii? -nilitoka mkoani mwangu Msoma mjini nikiwa na miaka 12- kule mwanamke kuvaa suruali sikuona..mwanaume kutoboa masikio sikuona... Mwanaume kusuka nywele sikuona.. Kunyoa viduku sikuona.. Ushoga sikuona!!! Lakini miaka ya sasa kila kitu kimearibika sababu ya TELEVISION... Tunageza vitu vinavyofanywa kwenye TV.. TELEVISHENI inatuongoza sisi baada ya ss kiongozi.. Mataifa makubwa yanawaonga Viongozi wetu ili tu kutimiza malengo yao ya kuiharibu Afrika na tuwe mazezeta.. Unatazama show na mwanao sebuleni thn msanii wa kiume anajitangaza kua yeye ni shoga au katoto kadogo kanaangalia video music watu wamevaa mavazi ya ajabu... Na sasa kasichana kadogo kanajua mapenzi sababu ya DVD chafu na Tamthilia za mapenzi... Na sasa ukioa binti mwenye bikira unabahati!!! - - Wazungu wamefanikiwa kuvuruga kichwa cha Mwafrika--Ushauri wangu kwako kwa wewe mzazi wa baadae - Sebuleni kwako weka au mtengenezee Library mwanao na sio Luninga
 
Kweli Kabisa Kuna Mke Wa Jirani Tangu Aolewe Kutoka Kijijini Alikuwa Na Heshima Kwa Mumewe Amani Imetoweka Baada Ya Kuangalia Vpndi Fulani Kwny Tv Hv Sasa Akifinywa Tu Na Mumewe Asubuh Yupo Kwa J Kivia Anamshitaki Mumewe Eti Kafinywa Anataka Kesi Kwann Kafinywa.Mumewe Akikosa Cha Kumletea Cku Moja Tayar Kavimba Eti Hatunzwi Anaenda Ustawi Duuu Tv Kwel Noma
 
Msoma
mjini nikiwa na miaka
12- kule mwanamke
kuvaa suruali
sikuona..mwanaume
kutoboa masikio
sikuona... Mwanaume
kusuka nywele sikuona..
Kunyoa viduku sikuona..
Ushoga sikuona
:......................................................
Sijawahi kuona mtu muongo kama author. eti hajawahi kuona mwanamme ametoboa masikio Musoma waqt tunajua watende wa musomda wanamasikio zaidi ya wamasai. Nani utamkonvince asiwe na ITV sebuleni.
 
Mkuu badilika Dunia inakwenda kasi mno.Jamii ya Watu makini inajali vitu viwili tu:Kukuza uchumi na Nguvu za kijeshi basi,mengine yote ni Mbwembwe!
 
Sio wazungu wanaharibu waafrika kwani wewe huwezi kujikontro na familia yako me naona hata mtu anaeshinda hapa jf huwa uelewa wake hauko sawa kuendana na majority za mada hapa hazinaga maana.
 
e9a5de7f-6110-4b86-9743-cb166bad82bb-460x276.jpeg
 
Sio wazungu wanaharibu waafrika kwani wewe huwezi kujikontro na familia yako me naona hata mtu anaeshinda hapa jf huwa uelewa wake hauko sawa kuendana na majority za mada hapa hazinaga maana.

Ukiwa na miaka zaidi ya thelathini (30) halafu bado unashinda kwenye mitandao ya kijamii siku nzima for nothing, unatakiwa uwatendee haki binadamu wenzako kwa kunywa sumu aina ya Cyanide.
 
Ukiwa na miaka zaidi ya thelathini (30) halafu bado unashinda kwenye mitandao ya kijamii siku nzima for nothing, unatakiwa uwatendee haki binadamu wenzako kwa kunywa sumu aina ya Cyanide.

Ahahahahaa we umenielewa kabisa.
 
Musoma wanaume hawatoboi sikio, musoma wanawake hawavai suruali ? Kijijini kwetu kiagata wanavaa suruali sembuse musoma mjini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom