john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
habari wakuu!!baada ya kupata simu ya lg c900 nlihitaji kuinstall apps mbalimbali,nkashindwa na baada ya ku google nikapata info kua mc walishasema kua kama una wp7 hautaweza kutumia marketplace (wp app store) nmejaribu kujua jinsi ya ku-update nimeshindwa,nipo hapa kwa vitu viwili
1.kujuzwa kama kuna watu wana wp7 na wanaweza tumia marketplace kudownload apps
2.naomba msaada wa jinsi ya kuinstall apps manually maana simu inaonesha updates unavailable.
mkuu tumia hii tool kuforce update
Want Windows Phone 7.8 now? Try this easy tool (Update: Now supports 7720) - Windows Phone Hacker
Shukrani chief-mkwawa ingawa maelezo yao naona hayajitoshelezi ila nimeelewa ni tool ya computer ambayo ntatakiwaniconnect device yangu kwa kutumia usb cable,kama ntakua nmekosea uatanielekeza
yani hiyo tool itakua kama guide yako ya kuinstall wp7.8 kwenye simu yako kwa kupitia pc.
Cha kwanza download pack waliosema kwenye hio link.
Then conect simu na pc yako open hio tool
anza kuinstall simu itarestart mara kwa mara we ichunie tu then itamaliza simu yako itakua updated
mkuu tumia hii tool kuforce update
Want Windows Phone 7.8 now? Try this easy tool (Update: Now supports 7720) - Windows Phone Hacker
ivi chief-mkwawa nikii-update inaweza kua locked tena maana ilikua locked kwa at&t
mkuu kwa hapo sina uhakika.
Ila updates za windows phone ninavojua mie sio carier dependent zinatoka moja kwa moja kwa microsoft so sidhan kama itakua tena locked japo sina uhakika
Ok sasa nmeelewa vizuri kabisa ntafanya hivyo,ntaleta feedback
Proper way ya ku update simu yako lazima uwe na kitu kina itwa zune kwenye pc yako una unga simy yako kwa usb zune itafunguka ita sync media zako then kwenye zune nenda settings iko juu kulia ikishafunguka utaona neno update yenyewe ita sgearch for update then ita ku guide ku install hadi sasa lates update ni windows 7.5 yenye rom 7.10.. Hiyo ya 7.8 alio kuambie chief mkwawa oficially bafo haija toka ila kuna watu wamefanikiwa kuzipata na kuinstall kwenye simu zao sio mbaya pia ukiamua kuweka kama yeye alivyo kuonesha hapo.pia swala la kuinstall app cjui ni kwa nini unasindwa ila hakikisha simu yako umei configure na email yao Mc either hotmail,live au any amabyo ni ya microsoft hapo utakuwa una instal bila problem