faby
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 2,214
- 768
Wakuu naweza ku update iphone 4 kwenda kwenya ios 7 kwa kutumia wifi only bila kutumia laptop/itunes? CC chief-mkwawa C6 [MENTION=11527]good guy Kang
Last edited by a moderator:
Na mimi naomba msaada. Nuna iphone 5 nikiweka line inasoma lakini simu na msg hazitoki wala kuingia. Nilitumiwa toka Uingereza
tumia wifi maana iphone hawaruhusu kudownload kwa celular linalozidi mb100.
nenda menu then setting then general halafu software updates.
itakuja update around 900mb
iphone zinasuport adhoc unaweza tengeneza tu wifi na kisimu cha android uka update.
tumia wajanja night usiku sh500