Ku- unlock bootloader

Ku- unlock bootloader

Msaada Na Mimi...

Nilikuwa naflash xbo m8, in clone ya HTC....ilikuwa INA stuck kwenye boot image...sasa baada ya kuflash...ikawa bado inaishia hapo hapo...

Natumia so flash tool, hii ina option ya Ku format, so nikaformat kila kitu...

Sasa ndo imegoma kuwaka kabisa, lkn nikitumia sp flash tool...inakuwa detected, Na flashing inafanyika...lkn haiwaki..

Tatizo nini waungwana...

Yenyewe ni mt6572....
Nikachanganya scatter file, nikatumia scatter file ya mt6580, sasa ukichomeka kwa PC inakupa kale Ka tune Ka kuwa umechomeka kitu, lkn Kyle kwenye sp flash tool haiwe detected, vipi ndo imekufa au..

Msaada tutani jamani
file litakuwa ni tofauti tafuta simu km hiyo copy file then flash ama endelea kutafuta file kwenye mtantandao ambalo litawasha
 
Yaani hapo ndo napata shida...maana hata kuwa detected kwenye sp haitaki..

Jana kuna ndugu alinitumia link ya miracle box, v2.27A....Na yenyewe inaniambia ni download latest version..sasa sizipati
 
tafuta CDC_Android_MTK drivers zitasaidia simu kuwa detected
 
Iko hivi....ilikuwa inawaka inaishia kwenye logo....wakati nataka Ku flash kwa sp kwa bahati mbaya nikatumia scatter file la mt6580, Na simu yangu no mt6572....sasa tangu hapo ikawa haiwaki tena, nikiweka kwenye PC, PC INA detect lkn sp hai detect tena...

Nifanyeje....
 
Yaani hapo ndo napata shida...maana hata kuwa detected kwenye sp haitaki..

Jana kuna ndugu alinitumia link ya miracle box, v2.27A....Na yenyewe inaniambia ni download latest version..sasa sizipati
Miracle huwez tumia until ume crack... Nilikwambia ufate instructions haitokuulza habar za new version
 
Iko hivi....ilikuwa inawaka inaishia kwenye logo....wakati nataka Ku flash kwa sp kwa bahati mbaya nikatumia scatter file la mt6580, Na simu yangu no mt6572....sasa tangu hapo ikawa haiwaki tena, nikiweka kwenye PC, PC INA detect lkn sp hai detect tena...

Nifanyeje....
japo umedandia thread ya mtu mwngine x-box nyingi ni fake file hilo ninalo la 1.75 gb je ulibahatika ku read info ambapo ungeliweza kujua ukubwa wa file la hiyo simu
 
Back
Top Bottom