Ku root simu

Kama zipi app hizo
Zipo mkuu kama ulishawahi kutumia labda samsung kuna vile unabadili style za maandishi yaani zile font katika baadhi ya simu mfano tecno nayoitumia mimi hauwezi tumia nami napenda nitumie.
 
Zipo mkuu kama ulishawahi kutumia labda samsung kuna vile unabadili style za maandishi yaani zile font katika baadhi ya simu mfano tecno nayoitumia mimi hauwezi tumia nami napenda nitumie.
Kama hivi au
 
hahah mkuu umeishia rolly pop hope hili bango la kitambo umefanya kukopi mahali ila kwenye hizi adrod 6 7 8 na 9 hayo maujanja hayana kaziii
 
Yaani hiyo nimechoka nimebadili badili ila kwasasa naitaji nitumie zile zilizomo katika app ya "hi font" nilishawahi zitumia katika tecno C5 kipindi cha nyuma kidogo.
Ndiyo mkuu mi ninazo nyingi sana hapa natumia Rody kwenye simu yangu
 
hahah mkuu umeishia rolly pop hope hili bango la kitambo umefanya kukopi mahali ila kwenye hizi adrod 6 7 8 na 9 hayo maujanja hayana kaziii
Ndiyo nimekopi mkuu
 
QUOTE="tembajr, post: 29237561, member: 367267"]hahah mkuu umeishia rolly pop hope hili bango la kitambo umefanya kukopi mahali ila kwenye hizi adrod 6 7 8 na 9 hayo maujanja hayana kaziii[/QUOTE]kama vipi tupe nawe maaujanja yako ili tuweze ku root hizo Android 6,7,8 na 9
 
Kwa sisi tunao miliki simu Kama Zte Z970 Max inaweza kuwa rooted? maana nimetumia njia nyingi bila mafanikio,msaada tafadhali
 
Anza kwanza kufanyia BootLoader unlocking kisha endeleanna mambo yako but kuroot hizi simu zinazorun android version 6 na kuendelea mpaka Pie ni ngumu kidogo but ukiwa na pc utaenjoy sana
Kwa sisi tunao miliki simu Kama Zte Z970 Max inaweza kuwa rooted? maana nimetumia njia nyingi bila mafanikio,msaada tafadhali
 
Wengi tu chin ya kitkat ni one click tools zipo za kutosha tu but hizi zilizoanzia Marshmallow na kuelendea ni ngumu kidogo kama huna ujanja.

Maana wengi huwa wanatumia TWRP
Kuna aliefanikiwa kuroot simu yake??
 
Ahsante san kwa maelezo haya adhimu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…