Mkuu nami nilikuwa na tatizo kama hilo ila nadhani limekwisha kwa kiasi fulani ingawa nitahitaji maelekezo zaidi.Kwangu ilikuwa hivi:Jamani naomba msaada wenu nilikuwa najalibu ku-unlock modem yangu vodafone k3565-z ili niweze kuitumia kwa laini tofauti na voda lakini sijui nimekosea wapi , nikiingiza kwenye computer yangu haionekani kwenye my computer lakini bado inakuwa inaonyesha ile taa ya rangi ya blue
Teacher Kapex
Jamani naomba msaada wenu nilikuwa najalibu ku-unlock modem yangu vodafone k3565-z ili niweze kuitumia kwa laini tofauti na voda lakini sijui nimekosea wapi , nikiingiza kwenye computer yangu haionekani kwenye my computer lakini bado inakuwa inaonyesha ile taa ya rangi ya blue
Teacher Kapex
kapex inaonyesha driver hazijakamilika.install software iliyokuja na modem kwanza yaani ya voda kisha ndo utumie joinair.hapo itaoneka,wakati unatumia join hakikish umexit ya voad
Zasasule, kinachoonekana hapo ni kuwa kapex alishafuta ile dasboard ya vodaphone na computer bado inahitaji hizo drivers.....kama sivyo mkuu kapex nisahihishe......sasa unachohitaji hapo ni kupata ile original dashboard.........hiyo dasboard ni MB 35, sasa kama ndivyo sema labda nikuaploadie au niPM email yako uextract, hilo file na uliinstal, au kama vipi tafuta MODEM kama hiyo hiyo uiistal then hizo drivers zitakuwa re installed
Mkuu ulishapata suluhisho??
Jamani naomba msaada wenu nilikuwa najalibu ku-unlock modem yangu vodafone k3565-z ili niweze kuitumia kwa laini tofauti na voda lakini sijui nimekosea wapi , nikiingiza kwenye computer yangu haionekani kwenye my computer lakini bado inakuwa inaonyesha ile taa ya rangi ya blue
Teacher Kapex
Ni kweli nafikiri nitakuwa nimezifuta make nilipo iuninstall niporudisha tena computer haikukubali kuisoma hiyo modem ili ijiinstall yenyewe kama kawaida. Pia kwa msaada zaidi e mail yangu ni teackapex@gmail.com
kama kuna kitu haujafahamu uliza wapo wataalam watakusaidia, wapi umekwama?
wakuu mimi naomba mnisaidie jinc ya kuweka unlockd dashboard kweenye 3570 zte.....procedures zake na links za kudownload hzo softwares:confused2: