fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,656
- 7,260
Je kuna app ambayo naweza kuitumia ku edit document kwenye whatsap?
okHAKUNA
labda uedit nje ya whatsapp uirudishie huko.
mzee wa kuchomekea shti kwene chupi...😅 tumia WPS.! iliyolipiwa ni bora zaidi,maana utaedit mpaka kuedit tena hizo ma documentsJe kuna app ambayo naweza kuitumia ku edit document kwenye whatsap?