just ku download movies kwanza ndugu yangu,gues ntakua experienced later on,u torrent inanishinda
vizuri ukidownload movies kwa torrent uwe na unlimited internet connection,
ili kudownload torrent lazima uwe na client yake inaweza kua utorrent au bittorrent
search google "utorrent download" then download na install kwenye pc yako then kudownload movies just gooogle it
Mfano unataka movie ya van damme bouble impact andika hivi google "double impact torrent" (funga na fungua semi usiandike)
Kwa kuongezea ukidownload torrent click magnetic link (inakua na picha ya sumaku ndogo) au sehemu yoyote iloandikwa download torrent usiclick sehemu zilizoandikwa direct download
Lakini torrent si njia pekee ya kudownload movies. Zipo movie nyingi zimekua uploaded katika web mbalimbali
Unaweza download movies kupitia rapidshare, mediafire na nyenginezo.
mfano unaweza search google "no retreat no surrender mediafire" utaona result zinakuja website au blog zenye hio movie ikiwa uploaded mediafire.
Movie nyingi za mediafire au rapidshare haziwi single link zinakua parts parts movie moja inaweza kua na part 5 so unatakiwa uwe na software ya ku extract kama winrar, winzip au 7zip.
Sometime unaweza kuwa na bundle ndogo ya internet usihofu zipo movies za mb300 format ya mkv zenye quality nzuri tu kwa pc.
Ili kuzipata ukisearch movie ongeza neno mb300 mfano "no retreat no surrender 300mb mediafire"
Kama utapata tatizo utasema