Ku download Beats!

Ku download Beats!

Mwenye website ya kudownload ma beat ya nyimbo mbalimbali!

Kama una mtandao wa uhakika, download software inayoitwa 'Frostwire', inapatikana BURE. Ukisha install unaweza ku download nyimbo, movie na beats za wasanii mbalimbali.
 
Back
Top Bottom