Ku-copy na ku-paste... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ku-copy na ku-paste...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Terrire, Sep 4, 2012.

 1. Terrire

  Terrire Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  INTERVIEW Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ampatie mwenzie majibu.
  Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na watahiniwa walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza alipotoka akaamua kumpatia mwenzie majibu tu.
  SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?
  JIBU LA BRIGHT STUDENT: IT WAS SUPPOSED TO BE 1960 BUT IT POSTPONED TO 1961 DUE TO MANY REASONS.
  SWALI LA 2 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?
  JIBU LA BRIGHT STUDENT: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
  SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: IT BELIEVES THAT IN MARS THERE ARE LIVING THINGS, DO YOU BELIEVE?
  JIBU LA BRIGHT STUDENT: SOME SAY YES, SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.

  Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha mtihani.
  SWALI LA 1 KUTOKA KWA MWAJIRI: WHEN WERE YOU BORN?
  JIBU LA STUDENT MJINGA: IT WAS SUPPOSED TO BE 1960 BUT POSTPONED TO 1961.
  SWALI KUTOKA KWA MWAJIRI: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE WAY?
  JIBU LA STUDENT MJINGA: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
  SWALI LA 3 KUTOKA KWA MWAJIRI: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?
  JIBU LA STUDENT MJINGA: SOME SAY YES, SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.
   
 2. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Marudio,
   
 3. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,090
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  Ame-copy na ku-paste
   
 4. n

  nganashee Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kabisaa expired utatuua man
   
 5. Meg

  Meg Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahhahahha...
   
 6. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  hii ina miaka zaidi ya kumi toka niijue ktk Maigizo ya shule
   
Loading...