Wadau, nimeona kwenye account ya ajira portal kwenye maombi ya ualimu nimewekewa mikoa alafu nimeandikiwa confirm employer, lakini ni mikoa ambayo mimi sikuomba. Je naweza nikabadilisha!!??
Nimetoa kwa watu walioomba,wakiingia kwenye akaunti zao wanasmbiwa wakonfem na wasabmiti,na inakuja selection pale,ambapo akikonfemu inamwambia successful.
Kama kuna utata,utaweza kuwapigia PSRS,jumatatu.