Mr Judgemental
Member
- Nov 16, 2023
- 15
- 14
Wadau, nimeona kwenye account ya ajira portal kwenye maombi ya ualimu nimewekewa mikoa alafu nimeandikiwa confirm employer, lakini ni mikoa ambayo mimi sikuomba. Je naweza nikabadilisha!!??
Chagua mkoa wwte tu ambao wew utakuwa rahisi kwenda kufanya usaili,sio lzm iwe ile ya mwanzo uloomba
Bilashaka ni hivyo,unachagua mkoa ambao kwako ni rahisi kwenda kufanya intavyuu.Chagua mkoa wwte tu ambao wew utakuwa rahisi kwenda kufanya usaili,sio lzm iwe ile ya mwanzo uloomba
They have written, confirm employer and not the region where you can easily attend an interview.Chagua mkoa wwte tu ambao wew utakuwa rahisi kwenda kufanya usaili,sio lzm iwe ile ya mwanzo uloomba
See you again.Tuliotemwa inaandikwaje?
Huu ufafanuzi umeutoa wapi?Bilashaka ni hivyo,unachagua mkoa ambao kwako ni rahisi kwenda kufanya intavyuu.
It seem you are correct. ThanksThey have written, confirm employer and not the region where you can easily attend an interview.
Nimetoa kwa watu walioomba,wakiingia kwenye akaunti zao wanasmbiwa wakonfem na wasabmiti,na inakuja selection pale,ambapo akikonfemu inamwambia successful.Huu ufafanuzi umeutoa wapi?
Kuna waliotemwa kweli?Tuliotemwa inaandikwaje?
Inaandikwa Mkoa uliochaguaTuliotemwa inaandikwaje?
Waliotemwa inasoma Mkoa walioomba ambao hawajatemwa haisomi Mkoa ulioomba akili kichwani mwakoKuna waliotemwa kweli?
You are right.They have written, confirm employer and not the region where you can easily attend an interview.
Elewaufafanuzi tafadhari.