Ku block namba ngeni

Ku block namba ngeni

babkaju3

Senior Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
118
Reaction score
94
Habari wana jamii....naomba kufahamu app inayoweza ku block namba ngeni kuingia kwenye cm yangu(namba ngeni isiweze kuingia kwenye cm ) asanteni nategemea msaada wenu
 
Mkuu yani hutaki namba yoyote ngeni isiingie kwa simu yako si utakosa mambo mengi hasa ya dharula?!!!!!
 
Naihitaji pia hiyo app, ikipatikana katika app store itapendeza zaidi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]umejuaje ana madeni?
lazima itakuwa hivyo tu...huwezi kuacha kupokea namba ngeni bila sababu...nadhani hajui tu umuhimu wa namba ngeni,,akitaka nitamfundisha..
 
Wana-JF. naomba msaada wa kupata softwere au jinsi ya kutuma meseji nyingi kwa watu wengi.
meseji nyingi namaanisha nitakapo ziandika kila mmoja apate meseji yake ambayo haifanani na ya mwingine.

mfano.
ninawafanyakazi wengi (6). Na kila mmoja ana majukumu yake nataka niandae maelekezo kwa kila mmoja kupata maelekezo yake yasiyo fanana na mwingi. Nikikamilisha kuandaa niwatumie kwa wakati mmoja. Nakila mmoja apate maelekezo yake tu.
Mwenye uwezo huo anielekeze kipi cha kufanya. JF-the greet thinkers.
 
tafuta hii ktu.. PHONE MASTER czan kama play store inapatkana hii ndo mwisho wa matatzo.. hii inazuia had mesej mzee
 
Back
Top Bottom