KRA tax collections fall by 32 percent in first quarter

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,310
7,464
Juzi niliandika uzi kuhusu kukosa uzalendo kwa wakenya..Nikawasihi watumie SGR ya mchina sababu "middle income" hamfai kuwa mna andamana eti SGR bei ghali.
Sikujua hata Kodi za serikali bado mnasusia!..Uzalendo upo wapi? Kazi ni kujaza mitandao shobo na kujipiga vifua

----
The Kenya Revenue Authority’s (KRA) poor run in domestic revenue mobilization has continued into the new financial year indicating the tax man’s struggle to attain optimum tax collection.

According to disclosures from the National Treasury statement of actual revenues and net exchequer issues which are published on the Kenyan gazette, tax income for government dropped by 32.4 percent between July and September from Ksh.632.9 billion over a similar period in 2018.

Month over month, new taxes fell at their sharpest in September as collected revenues shrunk to Ksh.98.9 billion from Ksh.329.1 billion in September 2018.

The declining tax base is largely attributable to the continued deplorable macroeconomic environment whose incapacitation has locked out key revenues for government.

A mark down in tax compliance coupled with reduced company investments saw KRA miss out on its expected Ksh.1.77 trillion in revenue collection in the past year by 11 percent in spite of notable spike in collections to Ksh.1.58 trillion.

Further, the widening of employee tax bands had the opposite effect of containing the Pay As You Earn (PAYE) taxes as the segment’s revenue base shrunk by Ksh.6.1 billion.

Moreover, the de-coupling of the Kenyan economy towards lesser revenue yielding segments such as agriculture continues to pose a significant stranglehold on greater collections as automation in the more discerning tax bases such as finance and manufacturing seals off greater collections.

“Sectors where we traditionally get a lot of revenues are showing weaknesses while on the vice versa, lesser yielding segments have become dominant,” said KRA’s Deputy Commissioner for Innovation and Risk Management Joseline Ogai in August.

The falling tax base has presented the largest doubt to Kenya’s fiscal containment among multi-lateral lenders such as the World Bank as the accumulation of public debt remains on forward footing.

The declining taxes for instance saw the International Monetary Fund (IMF) raise Kenya’s debt distress profile from low to medium in October 2018 on the back of years of persistent misses in revenue mobilisation by government.

According to World Bank’s Chief Economist for Kenya Peter Chacha, the shift in tax contributory segments remains the key ongoing concern to the assessment of Kenya’s distress levels.

“There has been a disconnect in revenue mobilization with a decline in the growth of tax to GDP. We have seen the decoupling of the structure of the economy with a shift of growth towards lower contributory segments such as agriculture,” Mr. Chacha said in an interview earlier this month.

KRA however hopes to clap back on missed revenue targets going forward through improved tax compliance to include greater surveillance of tax payers.

The improved surveillance is anchored on innovation with the tax man sinking to sync tax payers’ information with third party data bases such as Kenya Power and mobile money services.

Additionally, KRA has stepped up its pursuit of tax cheats as mirrored by the consistent indictments of tax evaders and their subsequent prosecutions.

The tax man hopes to prosecute an estimated 600 individuals on tax evasion by the end of June 2020 having indicted 222 persons in the past year to see a 60 percent surge in tax recoveries to Ksh.8.5 billion.

KRA is expected to pull up its socks in the nine months to the end of the current fiscal year with Treasury having pushed up the agency’s revenue targets to Ksh.1.81 trillion.

Source: KRA tax collections fall by 32 percent in first quarter - Citizentv.co.ke
 
The most interesting part is that KRA collects almost three times more of what your relevant authority is collecting there in bongolala. Wewe unapigana kelele hapa na hata hiyo ushuru hulipi
 
Hata wakikusanya nyingi huwa inaliwa na watu wachache tu 😂😂😂 na kuwaacha wengine huku jf wakisifia ujinga,
Mido inikamu kantrii.
Excuses as usual. Swali la msingi ungeuliza ni kwanini tunakusanya pesa nyingi kuwaliko ilhali mko na idadi nyingi ya watu kutuliko
 
Excuses as usual. Swali la msingi ungeuliza ni kwanini tunakusanya pesa nyingi kuwaliko ilhali mko na idadi nyingi ya watu kutuliko
Tunakusanya pesa kidogo na hiyo pesa kidogo Inaonekana inafanya kazi,
Kila mkoa nakopita huku nakutana na miradi ya nguvu kila kona,
Wakati huko kwenu pesa mnayokusanya inaliwa juu kwa juu
Ndio maana kila mradi mkitaka kufanya lazima mtembeze bakuli 😂😂😂
 
The most interesting part is that KRA collects almost three times more of what your relevant authority is collecting there in bongolala. Wewe unapigana kelele hapa na hata hiyo ushuru hulipi
The most annoying part is that, Kenya borrows three times than Tanzania despite all those cooking figures. The most indebted country which is planning to rise ceiling so as to borrow beyond its capacity to pay its matured debts and to pay salaries. Failed state.
 
Tunakusanya pesa kidogo na hiyo pesa kidogo Inaonekana inafanya kazi,
Kila mkoa nakopita huku nakutana na miradi ya nguvu kila kona,
Wakati huko kwenu pesa mnayokusanya inaliwa juu kwa juu
Ndio maana kila mradi mkitaka kufanya lazima mtembeze bakuli 😂😂😂
It's because your brain is conditioned to think so. You believe that hakuna miradi inyaoendelea Kenya ilhali kila mahali unaenda TZ kuna "miradi za nguvu" zinaendea. How do I even start engaging such a preconditioned mindset? Wake up, roll up your fucking sleeves, and start paying taxes. It's the work if every responsible citizen. That's all I can tell you
 
Excuses as usual. Swali la msingi ungeuliza ni kwanini tunakusanya pesa nyingi kuwaliko ilhali mko na idadi nyingi ya watu kutuliko
Mnakusanya nyingi lakini mnafanya miradi kidogo, sisi tubakusanya kidogo lakini tinafanya miradi mingi, karibu Mara 3 ya miradi mbayofanya ninyi. Hahahaha, Hahahaha.
 
The most annoying part is that, Kenya borrows three times than Tanzania despite all those cooking figures. The most indebted country which is planning to rise ceiling so as to borrow beyond its capacity to pay its matured debts and to pay salaries. Failed state.
Of course it's cooked figures because you are so jealous that you can't reach those figures despite of your big but lazy population. When will you get tired of this old boring line?

And just to remind you, we get those loans because we have the ability to pay. It means that we have good credit rating, not like a certain LDC country I know of that gets grants and freebies from Japan
 
It's because your brain is conditioned to think so. You believe that hakuna miradi inyaoendelea Kenya ilhali kila mahali unaenda TZ kuna "miradi za nguvu" zinaendea. How do I even start engaging such a preconditioned mindset? Wake up, roll up your fucking sleeves, and start paying taxes. It's the work if every responsible citizen. That's all I can tell you
Tutajie miradi ambayo serikali yenu inatekeleza kwa pesa yake ya ndani bila kukopa.
1)Tanzania tunajenga 'Rufiji hydroelectricity kwa thamani ya $3B

Taja project moja tu ya Kenya inayojengwa kwa kutumia hizo pesa mnazokusanya, wenye thamani inayozidi $1B. Ukinitajia Mimi kuanzia Leo nitaanza kuheshimu Kenya, sitoita Failed state.
 
It's because your brain is conditioned to think so. You believe that hakuna miradi inyaoendelea Kenya ilhali kila mahali unaenda TZ kuna "miradi za nguvu" zinaendea. How do I even start engaging such a preconditioned mindset? Wake up, roll up your fucking sleeves, and start paying taxes. It's the work if every responsible citizen. That's all I can tell you
Nyie mnaolipa hiyo kodi kubwa mbona hamna cha maana zaidi 😂😂😂
Bado mnashindwa kufanya miradi yenu kwa kutumia hizo pesa mnazokusanya, bado mnatembeza bakuli kila siku 😂😂😂
Bado mnakopa ili mlipe madeni, nilitegemea hiyo pesa nyingi mnayojisifia ingetumika kulipa madeni,
Oops nilisahau Sgr kuishia porini,
Ooh na miradi ya umwagiliaji,
Ooh na vivuko chakavu.
 
Nyie mwakusanya ushuru kiasi gani?
Mmesahau kuwa bajeti yetu by 2021 itakua sawia na GDP yenu?
 
Of course it's cooked figures because you are so jealous that you can't reach those figures despite of your big but lazy population. When will you get tired of this old boring line?

And just to remind you, we get those loans because we have the ability to pay. It means that we have good credit rating, not like a certain LDC country I know of that gets grants and freebies from Japan
Hahahaha, China refused to give you money for the remaining sections of SGR because you have lost that credibility. For your information, Tanzania has better credit ranting than Kenya.

The question is, why do you borrow if you have money in your pockets to spend?, very unfortunate is that Kenya borrows to pay its loan, that occurs only among collapsed economies, Kenya is among very few failed economies.
 
Hiyo kodi inamalizika kwa
1. Ziara ya Uhuru Kenyatta nje ya nchi.
2. Magavana kuiba
3. Tenda hewa
4. Ruto kutayarisha hela za kampeni
5. Miradi hewa mingi huko Kenya
Mpiga kura ananufaika vipi na hiyo kodi
Hata wakikusanya nyingi huwa inaliwa na watu wachache tu na kuwaacha wengine huku jf wakisifia ujinga,
Mido inikamu kantrii.
 
Nyie mwakusanya ushuru kiasi gani?
Mmesahau kuwa bajeti yetu by 2021 itakua sawia na GDP yenu?
Ninyi mngekua na akili msingezungumzia hili la kikusanya mapato Mengi, mngejiuliza kwanini sisi tunaokusanya zaidi ndio tunakupa zaidi, lakini Tanzania inakusanya kidogo haikopi sana, lakini miradi wanayojenga kwa pesa yao ni mara 4 ya miradi ya Kenya?
 
Back
Top Bottom