Raia Wapinga kutozwa kodi Airport kwa bidhaa za Tsh. Milioni 1.2 kutoka Nje ya Nchi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Raia wanapinga agizo la Mamlaka ya Mapato (KRA) linalotaka kutoza ushuru bidhaa mpya au zilizotumika kiasi za kibinafsi au za nyumbani zenye thamani ya Tsh. Milioni 1.25 na zaidi zinazoingizwa na Watalii au Raia wanaorejea nchini humo

Maagizo hayo yamezua taharuki kwa Wananchi wengi wanaodai kuwa hatua hiyo itawatia hofu Watalii. Pia baadhi ya Wabunge wamesema baadhi ya Maafisa wa KRA wamekuwa wakichukua fursa ya agizo hilo kuwahangaisha Watalii, hali inayoipa nchi umaarufu mbaya

Aidha, Waziri wa Utalii nchini humo #AlfredMutua ametaja hatua hiyo kuwa mojawapo ya sababu za idadi ya Watalii wanaotembelea nchi hiyo kupungua

.............


Some revenue officials are accused of taking advantage of the directive to harass touristsImage caption: Some revenue officials are accused of taking advantage of the directive to harass tourists

Kenyans are protesting a directive by the revenue authorities seeking to tax personal or household items worth $500 (£400) and above from visiting tourists and citizens returning to the country.

The Kenya Revenue Authority (KRA) says all goods whether new or used within that amount are subject to taxation.

The directive has sparked a public outcry, with many Kenyans saying that the move would scare away tourists.

A section of MPs said some KRA officials have been taking advantage of the directive to harass tourists, giving the country bad publicity.

Tourism Minister Alfred Mutua described the KRA move as one of the reasons the number of tourists visiting the country has been declining.

“You go to Rwanda, they don’t harass you. Does Rwanda not collect taxes? You go to South Africa, and they don’t harass you. In Dubai, they don’t harass you. So, why do our visitors face such challenges in Kenya? And we wonder why people are not coming to Kenya,” Mr Mutua said.

It is the latest in a series of new taxes introduced by President William Ruto's government, blamed on the worsening the cost-of-living in the country.

This is despite the fact that Mr Ruto won elections last year with a promise to ease the financial difficulties of families.

Chanzo: BBC
 
Back
Top Bottom