KQ

hahaaaa nimeipenda hii, leo asubuhi tulikuwa tuna discus ofisini jinsi gani KQ wameangukia pua, sasa nime elewa why.
 
Kenya na ethipia ethiopia kuzuri
 
Naona KQ wanaandamwa sana kwa "skendo" pamoja na hatua ya kuwa na ndege za kisasa lakini ufisadi nao haujawaacha yasije yakawakuta kama hili shirika la ndege la Tanzania.
 
Kuna wakati walikuwa wanajaribu kulinganisha air hostess wa American Airways na Emirates. Duh, ilikuwa aibu.
 
1. Malaysian Airways
2. Qatar Airways
3. Emirates
4. Ethiopian Airline

Haya mashirika ni balaa kwa kuwa na warembo. Unaweza kujikuta unaenda kupiga nao stori pale counter kwao.

Panda Etihad Airways utafurahi na roho yako mwanzo kati mwisho
 
nimepata picha za vile wanavyoongeaga ,.. nikajikuta nacheka kwa sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…