KQ kubinafsishwa kwa USD 1.2 Trillion

KQ kubinafsishwa kwa USD 1.2 Trillion

Mashirika mengi ya ndege hayafanyi vyema hasa Afrika kwa sababu ya ufisadi pamoja na kushindwa kushindana na mashirika ya ndege ya kimataifa yanayoendeshwa kiweledi zaidi.

Hata hii ATCL ni ufisadi mtupu na ndio maana hesabu zao zinakaguliwa kisiasa na kutolewa ripoti za uongo ili kuonyesha kwamba inapata faida wakati ni hasara tupu na mwisho wa siku serikali inazunguka na kuipa ruzuku kinyemela ili isifilisike.

Ccm ingeondoka ndio ingekuwa mwisho wa ATCL.
 
Back
Top Bottom