Acha urongo, suggestions hutokea tu, hazijijazi, ni mpaka uipick. Kutype TRUCK na kupick TRUCK kwenye suggestion yote ni sawa. Haya tuyaache, ushakata tiketi au unaimba imba tu mapambio?
Unless umekuwa usingizini tangu 2016. Wakati wa kupokea ndege za awali Matindi alitangaza kuwa wataandaa strategic plan ili kuhakikisha wanajiendesha kwa ufanisi. Jambo jingine; ilichukua muda gani hadi ndege kuanza safari za nje? Kwako wewe hayo mawili yanaashiria nini?

Anaweza akawa msomi lakini kichwa kitupu. Usomi na elimu ni vitu viwili tofauti. Ndio maana nakushangaa unapoamini hao binadamu wenzio hawawezi kukosea wakati tunayo mifano hai ya namna wanavyofanya maamuzi ya ajabu ajabu kila leo