KPMG bado wana ule utaratibu wa kuchukua fresh graduates?

Mkuu sio kweli,kuna dada mmoja alikua Deloite nimesoma nae kichwani alikua mwepesi sana na amekaa hapo hadi kapata kazi Barclay's Bank na kuna msela pia hana cha one wala two kapiga sana mzigo pale and now anafanya business zake tu

pwc mpaka wa div 3 wapo
 
Noo.. This is fuccking crazy bana...
Engineer napiga mzigo popote pale, isipokua kwenye Afya tuu...
Sasa kwanini hawajaniita...
Halafu GPA yangu kali sana!!
Huu ni uzi mwingine tena nakukuta, sasa nimekuelewa, kwa akili hizi hata hiyo kazi hupati, unafikiri watu wana Base kwenye makaratasi pekee......
 
Good people;
Samahani naomba kujua hao failures ni wale wenye matokeo gani O level na A level? ambao hawafai kwenda kwenye hayo mashirika?

Nitafurahi sana nikieleweshwa kwa hili.
 
kpmg na ey sawa ila delloite na pwc ni uongo ukiwa unajuana na partner tu unaingia... kuna div 3 nyingi sana delloite......

kpmg tu ndio sehem ya watabe hawanaga kujuana hata kidogo

Zilishapita mkuu PWC ndo mwanzoni mwa Mwaka vigezo vyao ni Vinne tuu.

1. Form Four Division I na A au B za Mathematics na English.

2. Form Six Division I

3. University Upper Second Class ya 4.0 GPA na Ku endelea

4. Uwe Mwanafunzi ambaye unafanya final stage au umemaliza CPA.

Hawa hawawachukuagi waliounga Cheti na Diploma

Pia huwa kuna Exceptional things Kama Mtu Ukiongoza Mitihani ya CPA Over all wanaweza kukuchukua

Ila fahamu
KPMG
PWC
Deloite&Touch
Enerst na Young
Is not place for Losers Kila laheri mdogo wangu.
 
Not true..
Sometime inabdi ujiamini...
My friend hakua na CPA wala alikua hajaanza na yupo ey na ana division 3 ya f6...
Alipasua tu interview zao..
 
Na wana interview za ajabu hawa majamaa,,,written mnauliza methali na vitendawili..mabus ya njano wenye akili ndo wanafaulu
 
usikate tamaa huwez jua...Email zmeanza kutumwa juzi bt mpaka jioni hii bado znatumwa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom