M Muhozy Member Joined Dec 6, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Aug 23, 2015 #1 Habari za asubuhi wadau wote wa jukwaa hili. Napenda kufahamu ukimaliza kozi ya Ukaguzi level ya Diploma waweza kuwa Mkaguzi wilaya au unarudi kufundisha tena? Naomba kuelimishwa.
Habari za asubuhi wadau wote wa jukwaa hili. Napenda kufahamu ukimaliza kozi ya Ukaguzi level ya Diploma waweza kuwa Mkaguzi wilaya au unarudi kufundisha tena? Naomba kuelimishwa.
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,556 Reaction score 4,169 Aug 23, 2015 #2 Unarudi darasani...hadi utakapo badilishiwa muundo wa ajira
M Muhozy Member Joined Dec 6, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Aug 23, 2015 Thread starter #3 Mushi92 said: Unarudi darasani...hadi utakapo badilishiwa muundo wa ajira Click to expand... Hivo utaomba kubadilishiwa au? lakini pia impact ya hii kozi ipoje.
Mushi92 said: Unarudi darasani...hadi utakapo badilishiwa muundo wa ajira Click to expand... Hivo utaomba kubadilishiwa au? lakini pia impact ya hii kozi ipoje.
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,556 Reaction score 4,169 Aug 23, 2015 #4 Yap utarud kwa mwajir na vyeti na barua nyingi...... Coz bado hawajatenga elimu na ukaguzi. Pindi wakitenganisha ndo itakuwa bata
Yap utarud kwa mwajir na vyeti na barua nyingi...... Coz bado hawajatenga elimu na ukaguzi. Pindi wakitenganisha ndo itakuwa bata