Kozi za healthcare tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kozi za healthcare tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The Boss, Apr 24, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Nina ndugu zangu nimewashauri wasomee masuala ya healthcare
  ili kupata ajira kwa urahisi

  sasa naomba mwenye kujua vyuo vya private na serikali vyenye kozi fupi za mwaka mmoja hivi au miwili

  na aina za kozi wanazotoa....

  Interest ipo kwenye healthcare management diploma hivi
  au kama za aina hiyo
   
 2. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  mkuu vyuo vya healthcare inategemea wanataka kusoma nini in health, inaweza kuwa Laboratory, Health records, Clinical officer na Nursing. Course nyingi ni kuanzia two years. once unajua wanataka kusoma nini then we can easly tell you vyuo.
   
 3. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  On this same subject. Nimejaribu kutafuta course za Masters maswala ya health e.g control of infectious disease,molecular bio etc website za kcmc,muchs hazifanyi kazi. Kama kuna mtu ana list ya available MSc naomba aweke hapa.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nimesema hapo juu
  healthcare management...

  wewe nipe orodha ya vyuo vyote vya healthcare hapa bongo
  vya serikali na vya private
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  anyone?????????
   
 6. K

  Kasana JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nenda wizara ya afya utapata updated list na pia ikijumuisha na vya FBOs
   
Loading...