maswali mengine bna yan sijui yaanze kujubiwa wap maana hayana mantik. Mtu had anaomba chuo na kuchaguliwa bado haelew taaluma aliyoihtaj unahusiana na mini. kingine ajira hazipo so jiandaeni kisaikolojia mkuu nchi imebadilika sanaWakuu habari zenu ,naomba msaada kwa Nina mdogo wangu amepata chuo kwa kozi ya record and management katka chuo kikuu hapa nchini sasa nauliza atajihusisha na kazi gani? Naomba kujuzwa