Samani na omba na mimi kuliza kusu hiyo kozi ya Prosthetic and orthopedic technology tofauti na MUHAS chuo gani kingine wanatowa hiyo kozi?........ pia niliona TATCOT wanayo bachela yake lakini kwenye TCU TATCOT hawapo.Habari za sasa,kwa wakubwa shikamoni,lengo LA kufungua Uzi huku ni kuelewesha wale wote wenye uhitaji wa kuapply kozi za afya(ukiachana na doctor of medicine na bachelor of pharmacy).
Kozi zifuatazo naomba mchanganuo wake,yaan SOKO LAKE KWENYE AJIRA Au KAMA NI KUJIAJIRI,MAENEO YA KAZI,NA MALIPO YAKE
👉Doctor of dental surgery
👉Bachelor of medical laboratory science
👉Bachelor of science in nursing
👉Bachelor of science in prosthetic and orthotics
👉Bachelor of medical laboratory science in;
1.clinical chemistry
2.hematology and blood transfusion
3.microbiology and immunology
4.parasitology and medical entomology
5.Bachelor of medical laboratory sciences general...
6.histotechnology..
Mchango wenu ni muhimu mno wakuu...
Pia kama kuna kozi sijataja hapo juu ruksa kuichambua na kozi zote zinazopatikanakatika vyuo vya Tanzania....
KARIBUNI....
Angalia vyuo kama kcmc,bugando,kairuki nahis itakuwepoSamani na omba na mimi kuliza kusu hiyo kozi ya Prosthetic and orthopedic technology tofauti na MUHAS chuo gani kingine wanatowa hiyo kozi?........ pia niliona TATCOT wanayo bachela yake lakini kwenye TCU TATCOT hawapo.
amna ila KCMC wenyewe iko under TATCOT tuu ata ukiangalia Guide book ya mwaka huuAngalia vyuo kama kcmc,bugando,kairuki nahis itakuwepo
na KCMC wenyewe wana kozi 3 basiamna ila KCMC wenyewe iko under TATCOT tuu ata ukiangalia Guide book ya mwaka huu
Tanzania Training Centre For Orthopedic TechnologistTATCOT NDIO NIN
ndiyo naipenda sanaaa kaka sema degree ipo MUHAS sema TATCOT pia wameandika wanatowa sema TCU akionekaniSawa mkuu ndio unampango wa kuipiga nin
Magufuri atakulipa sio chini ya 1.2 hadi 1.4M, ila private unaweza kulipwa zaidi ya hapo ata ata 3Kote kote tu,kama unafahamu tuambie mkuu