Kozi ya urubani

Lady Janet

Senior Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
167
Reaction score
161
Jamani katika vyuo vya hapa Tz ni kipi kinatoa kozi za urubani,nina mdogo wangu amefanya vizuri A'level na hataki kozi yoyote zaidi ya hyo.
Please ur advise.
 
Nenda pale uwanja wa ndege terminal 1 wanako paki ndege kuna chuo ila Ada imechangamka .
Ukishindwa ni pm nitakutumia jina na namba zao za simu nitacheki kwenye kumbukumbu zangu
 
Nenda pale uwanja wa ndege terminal 1 wanako paki ndege kuna chuo ila Ada imechangamka .
Ukishindwa ni pm nitakutumia jina na namba zao za simu nitacheki kwenye kumbukumbu zangu
Ok
 
lady Janet mie najitolea mchango wa ada dogo akasome ,mbona michango ya harusi tunatoa?akiwa tayari we nijulishe tuu nitoe mchango wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…