luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,403
Habhari zenyu wakuu! Nmechaguliwa kozi tajwa hapo juu, so naomba wenye ufaham na hiyo course uzuri wake ubaya wake na challanges zake pia na lolote lile muhimu kuhusu hiyo kozi naomba anijuze. Wassalaam!!