A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Shukrani mkuuData Entry kozi ya nini?!
Unachotakiwa kufanya ni wewe mwenyewe ku-practice speed and accuracy... that's all you need in Data Entry!!
Kuna programu kibao online zinazoweza kukusaidia ku-improve speed and accuracy!
Unaweza nitajia hizo program mkuuData Entry kozi ya nini?!
Unachotakiwa kufanya ni wewe mwenyewe ku-practice speed and accuracy... that's all you need in Data Entry!!
Kuna programu kibao online zinazoweza kukusaidia ku-improve speed and accuracy!
You're welcome, but point of advice!! Kama lengo lako ni kutumia ujuzi huo kutafutia vibarua Bongo, then well and good; lakini kama lengo lako ufanye freelancing jobs; basi unatakiwa kujifunza na Internet Research!Shukrani mkuu
Ukitaka kuingia kwenye hiyo field, unatakiwa kuanza kujifunza kujitafutia wewe mwenyewe! You just Google "Typing Speed Test" or "Typing Speed Games" na utakutana na hizo info, na kukuwezesha kutafuta program ipi itakufaa zaidi.Unaweza nitajia hizo program mkuu
Nashukuru sana mkuu nikiomba unipe msaada wako maana naitaji kufanya freelancingYou're welcome, but point of advice!! Kama lengo lako ni kutumia ujuzi huo kutafutia vibarua Bongo, then well and good; lakini kama lengo lako ufanye freelancing jobs; basi unatakiwa kujifunza na Internet Research!
To be more competitive, inakuwa bora zaidi kama unajifunza na Data Scraping kwa sababu watu hivi sasa wanasaka data zilizopo online lakini zile ambazo hazipatikani kirahisi kwa kutumia normal web/internet research!
Shukrani mkuuUkitaka kuingia kwenye hiyo field, unatakiwa kuanza kujifunza kujitafutia wewe mwenyewe! You just Google "Typing Speed Test" or "Typing Speed Games" na utakutana na hizo info, na kukuwezesha kutafuta program ipi itakufaa zaidi.
Weka bei hapa mkuu kama hutojaliKama unahitaji kujifunza data entry nione kwa Bei nafuu sana