Kozi ya Bachelor of Science in medical Physics

Kozi ya Bachelor of Science in medical Physics

Hapa Tanzani hakuna Kozi ya Hivi kaka pia sizani hata kama ina muundo wa Utumishi achana nayo
 
Msaada kwa mwenye uelewa wa hiyo kozi ikoje ajira zake kwa ujumla
Hii ni kozi mpya itaanza kutolewa University of Dar es salaam nadhani itakuwa campus ya Mbeya ( sina hakika kwenye hili la campus)

Ni science shirikishi ambayo inatumia elimu ya physics katika matibabu mfano radiotherapy, imaging na hata kwenye nuclear

Ni kozi nzuri serikali itaweka scheme of services yake nadhani kwa sababu ndio kwanza mpya kwa Tanzania
 
Back
Top Bottom