Kozi ya afya ya kusoma online

Kozi ya afya ya kusoma online

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
266
Reaction score
373
Wadau naomba msaada kwa anaye ijua KOZI yoyote ya afya ya KUSOMA online hasa diploma ...
 
Ati jamani kwa mhitimu wa kidato cha sita kujiunga na kozi yoyote ya afya ngazi ya Shahada itabidi akasome kwanza Dipoma?
 
Ati jamani kwa mhitimu wa kidato cha sita kujiunga na kozi yoyote ya afya ngazi ya Shahada itabidi akasome kwanza Dipoma?
Kama umefaulu vyema na unasifa za kusoma Shahada!
Kama hauna sifa za kusoma Shahada kwa matokeo ya form 6, utatumia matokeo ya form 4 kusoma diploma ya afya au kozi yeyote uipendayo
 
Back
Top Bottom