Kozi nzuri ya kusoma veta

Kozi nzuri ya kusoma veta

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,245
Husika na kichwa cha habari apo juu wakuu nilikuwa naomba msaada wenu wa kujua kozi nzuri ya kusoma veta ili uweze kujikwamua kiuchumi na inayolipa. Natanguliza shukurani 🙏🙏
 
Nenda veta Singida kuna kozi inaitwa Animal husband ile ni kozi kiongozi
Hutojuta na utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom